Share

Wakaazi wa Nkoroi wadai fidia

Share this:

Huku ukisalia mwezi mmoja unusu hivi kwa reli inayotoka Nairobi kuelekea naivasha kukamilika, suala la fidia kwa waliokuwa wakiishi na ambao bado wanaishi katika eneo la Nkoroi bado limesalia kitendawili. Japo tume ya ardhi imeidhinisha malipo kwa zaidi ya wamiliki mia moja, ukiritimba umeshamiri huku wenyeji wakiishi kwa dhiki, baadhi yao katika nyumba ambazo sasa zina nyufa. Faiza maganga na taarifa hiyo

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment