Share

Wakaazi wa Ng’ombeni wanaitaka matuta ya barabarani kuwekwa

Share this:

Wakaazi wa Ng’ombeni huko Matuga kaunti ya Kwale wanaitaka mamlaka ya barabara nchini kuweka matuta katika barabara kuu ya Mombasa kuelekea Lungalunga ili kudhibiti ajali katika eneo hilo zinazotajwa kusababishwa na magari yanayoenda mwendo Kasi.

Leave a Comment