Share

Wakaazi wa Kisauni na Nyali walalamikia utovu wa usalama

Share this:

Wakaazi wa maeneo bunge ya Kisauni na Nyali wanaishi kwa hofu, baada ya kuchipuka kwa genge ambalo limesababisha mauaji ya makumi ya watu katika maeneo hayo.
Maeneo hayo kwa muda mrefu yamekumbwa na uhalifu kufutia magenge kama vile wakali wao na wakali kwanza, ambayo yamewakosesha wakaazi amani.

Leave a Comment