Share

Wakaazi wa Kikoneni,kaunti ya Kwale walalamika kuhangaishwa na nyati

Share this:

Wakaazi wa eneo la Mwarutswa sehemu ya kikoneni eneo la lungalunga kaunti ya kwale wanaitaka idara ya wanyama pori nchini kumuondoa nyati aliyevamia makaazi yao.

Leave a Comment