Share

Wakaazi wa Baringo kaskazini wadai kubaguliwa

Share this:

Wakaazi wa Loruk eneo la Baringo kaskazini wamefanya maandamano leo wakilaumu kampuni ya uzalishaji kawi kutokana na mvuke wa ardhini GDC kwa kile wamedai ni ubaguzi wakati wa kutoa ajira.

Leave a Comment