Share

Wakaazi Ngong waandamana kulalamikia kifo cha dereva anayedaiwa kukamatwa na polisi

Share this:

Shughuli za uchukuzi katika barabara ya Ngong zilitatizwa na biashara kufungwa baada ya madereva wa matatu na vijana katika maeneo hayo kufanya maandamano. Waandamanaji walilalamikia polisi kuua mtu wanayedai hakuwa na hatia.

Leave a Comment