Share

Wakaazi maeneo ya Maragwa wanaathirika na mvua kubwa inayonyesha

Share this:

Huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha sehemu tofauti nchini, wenyeji wa Milimani karibu na mji wa Maragwa wanaendelea kutaabika baada ya nyumba zao kuathirika na mafuriko na maji chafu.

Leave a Comment