Share

Wakaazi Kaunti ya Kwale watoa hisia zao kuhusu agizo la KEBS

Share this:

Agizo la kuondolewa madukani kwa aina tano za unga wa sima na shirika la kukadiria ubora wa bidhaa nchini KEBS kumewatia kiwewe wakaazi wa kaunti ya Kwale ambao wengi wao ni waraibu wa ugali.

Leave a Comment