Share

Wajane 18 waliopoteza waume mlima Elgon waishtaki serikali

Share this:

Wajane 18 waliowapoteza waume wao wakati wa operesheni ya kijeshi ya kukabiliana na kundi la SLDF huko Mlima Elgon liliokuwa likitekeleza mauaji na kuwadhulumu wenyeji mwaka wa 2008 waishtaki serikali wakidai fidia

Leave a Comment