Share

Wahusika wa mkasa wa Solai wakamatwa na kufunguliwa mashtaka

Share this:

Kiongozi wa mashtaka ya umma Noordin Haji aliagiza kukamatwa na kufunguliwa mashataka ya kuua bila kukusudiwa mkulima anayemiliki bwawa la solai lililovunja kingo zake na kusababisha maafisa pamoja na uharibifu mkubwa wa mali, lakini katika hatua ya kushangaza taarifa zimejitokeza kwamba wakaazi wa eneo la Solai ambao waliathirika na mkasa huo sasa wanapanga kufanya maandamano kupinga agizo la kukamatwa kwa bwana Patel

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment