Share

Wahudumu wa Tuku tuk Mombasa wataka kusajiliwa na serikali

Share this:

Wahudumu wa tuk tuk katika Kaunti ya mombasa wanaitaka serikali ya kaunti ya Mombasa kutekeleza kanuni za usajili wa tuk tuk mjini humo.Zaidi ya tuk tuk 10,000 zinahudumu mjini Mombasa na kuwaajiri vijana 20,000 ila utekelezaji wa kanuni na sheria umekuwa ukipokea pingamizi kutoka kwa baadhi ya makundi pinzani wakidai

Leave a Comment