Share

Wahudumu wa afya waandama Bumula kaunti ya Busia

Share this:

Wahudumu wa afya kaunti ya Busia wameandamana na kusuis kazi zao. wahudumu hao wanadai kutolipwa malimbikizi ya malipo yao ya shilingi milioni thelathini na tano kwa muda wa miaka miwili iliyopita.

Leave a Comment