Share

Wafugaji wa ng’ombe wa maziwa kufuga ng’ombe za kisasa Bungoma

Share this:

Zaidi ya wafugaji mia mbili wa ng’ombe wa maziwa katika kaunti ya Bungoma wametakiwa kufuga ng’ombe wa kisasa wa maziwa kuwawezesha kunufaika na mauzo ya maziwa kwenye kiwanda kinachotarajiwa kukamilika hivi karibuni huko Webuye

Leave a Comment