Share

Wafuasi wa makundi ya Kieleweke na Tanga Tanga watatizana Giakanja kaunti ya Nyeri

Share this:

Watu saba wamekamatwa mapema leo katika eneo la Giakanja huko Nyeri kwa kula njama na kuzua vurugu karibu na shule ya sekondari ya Giakanja ambapo Naibu wa rais William Ruto alipangiwa kuongoza hafla ya mchango.

Leave a Comment