Share

Wafanyikazi wa kaunti wagoma

Share this:

Huduma katika baadhi ya serikali za kaunti zimesita baada ya wafanyikazi kugoma wakilalamikia kucheleweshwa kwa mishahara yao. Ingawa wafanyikazi mjini Nakuru wamerejea kazini baada ya kuahidiwa kuwa watalipwa Ijumaa, hali ni tofauti katika kaunti zingine ishirini

Leave a Comment