Share

Wafanyibiashara wageukia sekta ya viwanda Malindi

Share this:

Wadau wa sekta ya utalii na biashara mbali mbali mjini malindi, kaunti ya Kilifi sasa wameanzisha harakati za kugeuza mfumo wa biashara katika eneo hilo kutoka utalii hadi viwanda. Kulingana na msemaji wao Paul kibali wadau hao wanaandaa tamasha maalum Kwa jina coconut festival Kwa lengo la kuvutia wafanyibiashara kuwekeza katika viwanda vya mnazi miongoni mwa Mali ghafi nyingine.

Leave a Comment