Share

Wafanyakazi wa kupasua mbao wataka fidia kutokana na kufunga kwa viwanda vya mbao

Share this:

Wafanyakazi wa viwanda vya kupasulia mbao Kaunti ya Laikipia wanaiomba serikali kuwarejeshea pesa zilizotolewa kwa shirika la huduma kwa misitu KFS kabla ya marufuku ya ukataji miti miaka mbili iliyopita.

Leave a Comment