Share

Wafadhili wazindua vifaa vya kuboresha masomo ya teknolojia Kericho

Share this:

Wafadhili mbali,mbali wanazindua vifaa vya kuboresha masomo ya teknolijia kwa wanafunzi wa shule ya wavulana ya Chepwagan katika eneo bunge la bureti katika kaunti ya Kericho. Shule ya Chepwagan ni ya kwanza kufaidi mradi huo wa zaidi ya milioni tano

Leave a Comment