Share

Wadau waeleza wasi wasi wao kuhusu ongezeko la visa vya magonjwa yasiyotibika duniani

Share this:

Wadau wameelezea wasi wasi wao kuhusu ongezeko la visa vya magonjwa yasiyotibika duniani. Akiongea wakati wa kuanza kwa wiki ya kimataifa ya ufahamu kuhusu dawa za kutibu magonjwa ya viini, Mratibu wa kituo cha udhibiti wa magonjwa barani Afrika anayehusika na juhudi za kukabiliana na magonjwa yasiyotibika Yewande Alimi, ameonya kwamba vifo vya kila mwaka vinavyotokana na magonjwa yasiyotibika vinatarajiwa kuongezeka hadi milioni 10 kufikia mwaka wa 2050 kutoka kiwango cha sasa cha vifo 700,000 ikiwa hatua hazitachukuliwa kukabiliana na hali hiyo.
Connect with KBC Online;
Visit our Website – http://www.kbc.co.ke/
Follow KBC on Twitter – https://twitter.com/KBCChannel1
Find KBC on Facebook – https://www.facebook.com/kbcchannel1news/
Follow KBC on Instagram – https://www.instagram.com/kbcnews_/
#KBCNewsHour

Leave a Comment