Share

Wadau kutoka kaunti ya Kilifi wanapendekeza mpango wa uzazi kwa wasichana

Share this:

Wadau mbali mbali na hususan kutoka kaunti ya Kilifi sasa wanapendekeza wasichana waliobalehe kuruhusiwa kutumia dawa za upangaji uzazi na nyingine za kuzuia mimba na magonjwa ya zinaa.
Wanadai kuwa wasichana hao wanastahili kupewa nafasi ya kujiamulia kushiriki ngono kwa kuwa ni bayana kuwa wanashiriki wakiwa wadogo bila kinga yoyote huku wazazi wakikosa kujukumika. zomolo wanje anaarifu zaidi

Leave a Comment