Share

Wachuuzi kufurushwa Nakuru ili kuchimba mafuta

Share this:

Mzozo unazidi kughubika operesheni za Kampuni ya Kenya Pipeline katika mtaa wa Kaptembwa Kaunti ya Nakuru. Wafanyibiashara wapatao Elfu moja wanapaswa kuhama baada ya kubainika wazi kuwa wamejongea zaidi eneo la bomba la mafuta. Na Kama anavyoarifu mwanahabari Elphas Lagat, Wafanyibiashara hao wameapa kuwa hawataondoka Hadi watakapokabidhiwa eneo mwafaka la kufanyia biashara zao.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment