Share

Wachunguzi wakamilisha kuchakura vifusi katika eneo la mkasa wa ndege aberdare

Share this:

Wachunguzi katika mkasa wa ajali ya ndege ya Fly Sax iliyotokea katika milima ya aberdare, wamekamilisha shughuli yao ya kupekuapekua eneo la ajali kukusanya ushahidi ili kubaini haswa kilichotokea kabla ya ajali hiyo.
Wachunguzi hao kutoka mashirika mbalimbali ya serikali wanatarajiwa kutoa ripoti yao hivi karibuni kujibu maswali chungu nzima kuhusu tukio la ajali hiyo.

Leave a Comment