Share

Wabunge wazozana kuhusu mkasa wa Solai

Share this:

Huo mbunge wa Subukia Samuel Gachobe amemtaka mwenzake wa bahati kimani ngunjiri kukoma kuingilia maswala ya eneo bunge lake hasa kuhusiana na mgogoro unaozingira swala la mkasa wa bwawa la Solai na malipo ya fidia kwa waathiriwa. Gachobe amemshutumu Ngunjiri kwa kujaribu kuwashawishi waathiriwa hao kukubali malipo duni

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment