Share

Wabunge wapinga uagizaji wa mahindi

Share this:

Mwenyekiti wa hazina ya ghala la kitaifa Dkt. Noah Wekesa ametofautiana na waziri wa kilimo Mwangi Kiunjuri kuhusu pendekezo la kuagiza mahindi kutoka nje ya nchi. Wekesa anasema hakuna upungufu wowote kwa sasa akihofia waziri huyo huenda anafanya makosa kwa kuwa amekuwa akimhepa kila wakati akitaka kukutana naye. Hata hivyo waziri kiunjuri amemshtumu Wekesa kuwa anaingiza siasa katika suala la chakula kama anavyoripoti

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment