Share

Wabunge wapinga mdahalo wa mabasha

Share this:

Wabunge hii leo wamedinda kuzungumzia malalamishi yaliyowasilishwa bungeni kuhusiana na suala la mabasha na wasagaji.
Mbunge maalum Jennifer Shamalla alilitaka bunge kuchunguza mashirika yanayotoa pesa kwa wasagaji akitaka yaharamishwe kwani usagaji haukubaliki Kenya. 
Kulingana na wabunge, wao hawana muda huo wa kuzungumzia suala kama hilo, wakisema kuwa usagaji ni pepo mbaya asiyekuwa na nafasi yoyote kwenye shughuli za bunge kama anavyoarifu Angela Cheror.

Leave a Comment