Share

Wabunge wamtetea Ndindi Nyoro, wadai ananyanyaswa kwa sababu ya siasa

Share this:

Wabunge wanaomuunga mkono Naibu wa Rais William Ruto wamewasuta waziri wa maswala ya usalama Fred Matiang’i na katibu wake Karanja Kibicho kwa kuendelea kutatiza juhudi zao za kumpigia debe Ruto katika eneo la mlima Kenya.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

#NTVToday #NTV #NTVNews

Leave a Comment