Share

Wabunge wa Busia wasema mahakama zinawatamausha wakenya

Share this:

Wabunge katika kaunti ya Busia wamejitokeza kumuunga mkono kiongozi wa mashtaka ya umma na kuwakosoa wale wanaomshtumu kwa kukosa kuwafungulia mashtaka washukiwa wa ubadhirifu wa fedha katika idara ya huduma kwa vijana NYS.

Leave a Comment