Share

Vyama vya ODM na ANC vyapiga kampeni kwenye kinyang’anyiro Kibra

Share this:

Kampeni za kuwania kiti cha ubunge cha kibra zinaendelea kushika kasi huku vyama vya ODM na ANC vikijibwaga uwanjani hii leo. Ikumbukwe kuwa mgombea wa Jubilee Mac Donald Mariga alinyimwa cheti na tume ya uchaguzi IEBC kwa sababu hajasajiliwa kuwa mpigakura wa Kibra.

Leave a Comment