Share

Vuguvugu laandaa mkutano wa mwisho mwa hadhara mwaka huu

Share this:

Vuguvugu la Inua mama leo limeandaa mkutano wa hadhara mjini Wajir ambao linasena ni wa mwisho mwaka huu. Kulingana na viongozi wa kina mama hao , shughuli kubwa itakuwa kuwahamasisha vijana na kinamama kuhusu mbinu za kujiinua kimaisha.

Leave a Comment