Share

Vitita vya wabunge: SRC yapinga wao kujiongezea mishahara

Share this:

Tume ya kuratibu mishara nchini SRC itaelekea mahakamani kupinga nyongeza ya marupurupu ya nyumba waliyopewa wabunge.
Mwenyekiti Lyn Mengich anasema mbali na kwenda kinyume na katiba, tume ya huduma za bunge iliyotekeleza malipo hayo haina mamlaka kisheria kuamua kuhusu marupurupu hayo.
Pia amekariri kwamba tume hiyo haijaratibu marupurupu yoyote ya nyumba kwa maafisa wa serikali.

Leave a Comment