Share

Vita dhidi ya ugaidi

Share this:

Viongozi wa serikali kuu wametakiwa kukaza kamba katika juhudi za kukomesha ugaidi katika maeneo ya kaskazini mwa nchi .Mwakilishi wa kike wa samburu Maison Leshoomo anasema kuwa barabara inayounganisha Ethiopia na Kenya kupitia Moyale-Marsabit-Samburu-Isiolo hadi Nairobi imeshuhudia visa vingi vya ugaidi na ulanguzi wa binadamu. amauitaka serikali kuongeza maafisa wa polisi katika eneo hilo.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment