Share

Vita dhidi ya ufisadi : Wanaharakati wasema siasa ndizo kizingiti kikuu

Share this:

Rais Uhuru Kenyatta ana kibarua cha ziada kwenye jitihada za kupambana na ufisadi kwani huenda akakumbwa na pandashuka zilizozingirwa na msukumo wa kisiasa kwenye juhudi zake za kulizika zimwi hili kwenye kaburi la sahau.
Mahakama imekuwa ikilaumiwa pakubwa lakini kulingana na wakereketwa wanaozamia suala hili kwa undani, siasa huenda ndio kizingiti kikuu kwenye kuafikia mchakato huo.

Leave a Comment