Share

Viongozi wazua malalamiko kuhusu ugavi wa fedha katika miji midogo

Share this:

Viongozi kutoka Maeneo ya wafugaji wamelalamikia maeneo hayo kupata mgao mdogo wa fedha hata baada ya maeneo hayo kubaki nyuma kimaendeleo. wanapinga vigezo vya kutumia idadi ya watu katika shughuli ya ugavi wa rasilimali badala ya kutumia ukubwa wa maeneo.

Leave a Comment