Share

Viongozi wa ODM wamejipiga kifua kufuatia ushindi wa Imran

Share this:

Viongozi hao wamemtaja Imran kama “mtoto wa kwanza wa hendisheki” . Wanasema kuwa uchaguzi wa Kibra ni kionjo cha kinyang’anyiro cha mwaka 2022. Viongozi wa odm wamejipiga kifua kufuatia ushindi wa Imran Bernard Okoth kwenye uchaguzi wa kibra wakisema kuwa ni kionjo cha kinyang’anyiro cha mwaka 2022.

#SemanaCitizen

Leave a Comment