Share

Viongozi wa MAA watoa maoni yao katika Mkutano wa BBI Narok

Share this:

Viongozi Wa Jamii Ya Maasai Wamepinga Pendekezo La Kubuniwa Kwa Ngazi Ya Tatu Ya Uongozi Wa Serikali. Kinara Wa Odm Raila Odinga Hata Hivo Amesisitiza Kuwa Ni Sharti Katiba Ibadilishwe Kupitia Kura Ya Maamuzi. Ni Baadhi Ya Mapendekezo Yaliyoibuka Kwenye Mkutano Wa BBI Ulioandaliwa Leo Kaunti Ya Narok Ambapo Baadhi Ya Viongozi Kutoka Eneo Hilo Walisusia Kwa Madai Kuwa Walikuwa Wametengwa Katika Maandalizi Ya Mkutano Huo.

#Kenya #KTNNews #KTNPrime

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment