Share

Viongozi wa Kajiado wamtetea Keriako Tobiko dhidi ya shutuma za Mau

Share this:

Zoezi la kufurusha watu katika msitu wa Mau umeibua maswala mengi, ikiwepo wale wanaounga mkono zoezi hilo na ambao hawajafurahia jinsi zoezi hilo linavyoendeshwa. Mbunge wa kajiado mashariki Peris Tobiko amesuta baadhi ya viongozi kutoka Bonde la Ufa kwa kile anachodai kuwa Waziri wa mazingara Na msitu, Keriako Tobiko, analaumiwa kwa kuendeleza zoezi la kuhifadhi msitu wa Mau.

Leave a Comment