Share

Viongozi wa bonde la ufa wamtaka Rafael Tuju ajiuzulu

Share this:

Maspika wa mabunge ya kaunti zilizoko katika eneo la bonde la ufa pamoja na wawakilishi wadi wamempa katibu mkuu wa jubilee raphael tuju makataa ya siku saba amwombe naibu rais msamaha au ajiuzulu la sivyo watasusia kutoa ada wanayolipa katika chama cha jubilee. Wakiongozwa na spika wa kaunti ya uasin gishu david kiplagat, viongozi hao wamemtetea naibu rais na kusema kuwa tuju amemkosea heshima kutokana na matamshi ya kuzima azma ya Ruto kuwania urais 2022.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment