Share

Vinara wa NASA kutangaza mwaniaji wa urais Alhamisi

Share this:

muungano wa upinzani-nasa utamtangaza mgombea urais wake alhamisi ijayo, katika bustani ya uhuru. vinara wenza wa nasa wamedokeza kuwa wameafikiana kuhusu masuala mengi nyeti, na hata kubuni mpangilio wa ugavi wa mamlaka, na kuwataka wafuasi wao kuwa watulivu, licha ya taharuki inayoibuliwa na kitendawili cha atakayepeperusha bendera. gavana wa bomet isaac ruto amepokelewa rasmi kama kinara mwenza wa nasa, huku kigwagizo cha viongozi wa upinzani kikisalia kile cha jubilee kufungasha virago, kwa madai ya kuzembea kazini.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment