Share

Vijana wafukua mwili wa mwenzao Butere

Share this:

Kizaazaa kilishuhudiwa katika kijiji kimoja eneobunge la Butere baada ya maiti ya kijana moja kufukuliwa, saa chache baada ya kuzikwa jana usiku.

Leave a Comment