Share

Uwanja wa Ruringu bado haujakamilika licha ya kutengewa Ksh. 100M

Share this:

Kamati ya bunge ya michezo inazuru uwanja wa Ruring’u kaunti ya Nyeri ambao bado haujakamilika hata baada ya zaidi ya shilingi milioni 100 kutumika kuukarabati.

Leave a Comment