Share

UWAJIBIKAJI WA POLISI NAKURU: Wameepusha mkasa baada ya lori kuvuja mafuta

Share this:

Barabara kuu ya Nakuru-Nairobi katika eneo la Pipeline Nakuru ilifungwa kwa muda leo baada ya lori moja llilokuwa limebeba mafuta ya petroli  kuanza kuvuja mafuta likiwa barabarani.
Hii inawadia siku tatu tu baada ya watu zaidi ya hamsini kufariki nchini Tanzania kutokana na kulipuka kwa lori la petroli lililoanguka eneo la Morogoro.

Leave a Comment