Share

Utunzaji misitu Bomet

Share this:

Maafisa wa polisi kutoka Mogogosiek kaunti ya Bomet wameweka mikakati ya kukabiliana na uharibifu wa misitu. Kadhalika wanawatia mbaroni wamiliki wa magari aina ya toyota probox yanayotumiwa katika uchukuzi wa umma.

Leave a Comment