Share

Utepetevu hospitalini : Mume alia mbele ya kamati ya bunge

Share this:

Mwanamume mmoja mwenye umri wa makamu hii leo alibubujikwa na machozi baada ya kufika mbele ya kamati ya afya bungeni kuelezea masaibu ambayo mkewe amepitia tangu alipofanyiwa upasuaji katika hospitali ya Karatina na daktari mwanagenzi.
Harun Mwangi aliambia kamati hiyo ya afya katika bunge la kitaifa kwamba  alikumbwa na matatizo baada ya mkewe kufika katika zahanati kufanya ukaguzi wa titi  ambapo alielekezwa katika  hospitali ya Karatina kama anavoarifu Angela Cheror.

Leave a Comment