Share

Utekelezaji wa mtaala mpya wa 2-6-6-3

Share this:

Wizara ya elimu ilizindua mfumo wa 2-6-6-3 lengo kuu likiwa kukuza talanta za wanafunzi ili kuwaandaa vyema katika soko la ajira baada ya masomo yao. Hata baada ya mtaala mpya wa elimu CBC kuzua hisia Kali miongoni mwa walimu,viongozi pamoja na wakuu wa elimu humu nchini,wenyeji wa Nandi sasa wanaonekana kukumbatia mtaala huo.

Leave a Comment