Share

Utaratibu wa kuapisha Kenyatta na Ruto wang’oa nanga

Share this:

Tume ya uchaguzi nchini-IEBC imechapisha kwenye gazeti rasmi la serikali, matokeo ya uchaguzi wa urais, na kudhibitisha kuchaguliwa kwa Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto. Hii inaamanisha mikakati ya kuwaapisha Kenyatta na Ruto wahudumu kwa muhula wa pili imeng’oa nanga. Hata hivyo, kuna taratibu ambazo sharti zifuatwe, huku katiba ikibaini kuwa wawili hao sharti waapishwe hadharani. Aidha, kikao cha kwanza cha bunge la kitaifa na lile la seneti kitaandaliwa katika muda wa majuma mawili hivi.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment