Share

Usimamizi wa vyuo vikuu: Magoha ataka umakinifu kazini

Share this:

Waziri wa elimu Prof. George Magoha amewataka wasimamizi wa vyuo vikuu kumakinika na kuhakikisha kwamba elimu inayotolewa inakidhi mahitaji ya kitaifa.

Magoha ametoa changamoto kwa vyuo hivyo kuhakikisha vinawalipa wafanyikazi na vinatoa masomo endelevu ili kutimiza ndoto ya elimu bora.

Leave a Comment