Share

Usajili wa shule ya upili ya St.Theresa Nakuru wafutiliwa mbali

Share this:

Katibu katika wizara ya elimu Dkt Belio Kipsang’ amefutilia mbali usajili wa shule ya upili ya wasichana ya St Theresa iliyoko kaunti ya Nakuru kwa kutozingatia maadili wakati wanafunzi wanaposhiriki mtihani wa KCSE.
Mapema hii leo baadhi ya maafisa wa wizara ya elimu wakiongozwa na waziri Dkt Fred Matiangi walizuru shule tofauti kushuhudia jinsi mtihani huo ulivyokuwa ukiandaliwa.

Leave a Comment