Share

Upishi wa ugali katika muda usiozidi dakika moja!

Share this:

Kwa watu wengi, upishi wa ugali ni shughuli inayohitaji muda na subira, ili kupata matokeo ya kuridhisha. Lakini mtaalam wa lishe katika chuo kikuu cha Eldoret, amebuni mbinu mpya ya kutayarisha uji au ugali, katika muda usiozidi dakika moja.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

#NTVToday #NTV #NTVNews

Leave a Comment