Share

Unadhifishaji wa mazingira Kibera

Share this:

Mtaa wa Kibera kando na kuwa na wingi wa watu, umekuwa na changamoto chungu mzima za kukabiliana na taka.
Kulingana na ripoti ya umoja wa mataifa miji mingi ulimwenguni inakabiliana na kero la  taka na kuweka mazingira safi.
Dan Kaburu anaangazia kundi moja la  vijana mtaani Kibera limejitwika jukumu la kusafisha, kuelimisha na kuunda upya taka kwa mijajili ya kuwa na mtaa msafi.

Leave a Comment