Share

Ukwasi wa Kenya: Tunaangazia hoteli inayohifadhi mazingira

Share this:

Watalii wengi hupenda sana kutembea kwenye mbuga ya wanyama ya Masai.
Mara kujionea wanyama wa kila aina huku hoteli zaidi zikiendelea
kufunguliwa katika eneo hilo ,aidha kuna hoteli moja ambayo inaongoza
katika uhufadhi wa mazingira ambapo pia utapata gari la kwanza
linalotumia umeme hapo Mara.
Mwanahabari wetu Kimani Githuku alizuru hoteli hiyo ya Emboo River.

Leave a Comment